Katika majiji mengi hasa jiji la Dar
es salaam, kuna familia nyingi zimepoteza wapendwa wao kutokana na
janga la moto.
Majanga yanapotokea kwa kuwa
nyumba za mjini zimejengwa kwa uimara mkubwa,zenye mageti na makufuli
mengi .Milango na madirisha yenye vyuma ili kuzuia uhalifu
inakuwa ni vigumu sana kuwaokoa watu wakati wa moto.Magari ya kuzima moto huwa
yapo mbali na si rahisi kufika kwa wakati.
MOTO MBAYA SANA UNATEKETEZA MALI ZOTE
JANGA LA MOTO NA SABABU ZAKE
Janga
la moto hutokea pale moto unapokuwa mkubwa na kusababisha madhara.Sababu za
janga la moto .janga la moto husababishwa na hitilafu za umeme
,hitilafu kwenye majiko ya gesi,mishumaaKatika majiji mengi hasa jiji
la Dar es salaam, kuna familia nyingi zimepoteza wapendwa wao
kutokana na janga la moto
NYUMBA IKITEKETEA MOTO BILA HURUMA
MADIRISHA YA USALAMA
MADIRISHA ya usalama ni madirisha yenye uwazi
maalum yaliyowekwa ajili ya kutorokea au kuokolea wakati wa ajali za moto
au majanga mengine .Madirisha ya usalama hutumia wavu laini uliorahisi kutoboka
,vioo laini visivyo umiza .dirisha la chuma lililotengenezwa rasmi na kuachwa
nafasi maalum wakati wa janga la moto liwe rahisi kufunguka kwa usalama
zaidi. Dirisha hili si mahali pa kuchezea watoto weka kitasa maalum ambapo
kitavunjwa baada tu ya ajali ya moto.Usiweke tthamani au kuruhusu watoto kucheza
kwenye dirisha.Hakikisha unaweka vibandiko juu ya dirisha ili kujilisha
wageni hilo ni dirisha la usalama.
DIRISHA LA USALAMA LIKIWA LIMEWEKWA ALAMA MAALUM
LINK
HII NI LINK ITAKAYOKUFANYA UWELEWE ZAIDI NAMNA AMBAVYO MADIRISHA YANAONGEZA USALAMA.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni