kupamba kwa nyumba kwa saa kutapendesha nyumba yako.
Unapofanya saa kuwa urembo wa nyumba yako yafuatayo ni ya kuzingatia:
- Chagua saa yenye umbo la mstatili kwa kuweka chumbani ili
- Chagua saa yenye umbo la urembo lililochongwachongwa kwa ajili ya kuweka sebileni ili lipendezeshe sebule
- Chagua saa yenye umbo la duara kwa ajili ya ofisi duara ni nene itafanya bishara yako ionekane inakuwa na ni tajiri.
- Usiweke saa mahali pa juu sana hivyo kupata shida kuiangalia weka saa katika upeo wa macho iwe rahisi kuifuatilia.
Picha inayaonyesha chumba cha kulia chakula kimepambwa na saa.
Picha kinachoonyesha chumba cha sebule kikiwa kimepambwa na saa.
Hiki ni kiungo cha mtandao kitakachoweza kukuhabarisha zaidi kuhusu saa na upambaji wa nyumba.
http://www.fstips.com/home-feng-shui/29.html


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni