- Mwanamke ni wa muhimu sana katika jamii.Mwanamke anahitaji kuthamini katika jamii na si kunyamazishwa kimya,kunyimwa maamuzi sahihi kwa kutumia rushwa na hongo mbalimbali .
- Zipo haki na sheria mbalimbali za ambazo zinahitajika apewe mwanamke ili aweze kuleta manufaa.mwanamke anatakiwa apewe haki ya kufanya maamuzi pia maamuzi yake kukubalika.
- Kwenye urembo wa nyumba mwanamke anaaminika kwa kuimudu nyumba vizuri na kufanya ivutie wakati wote ikilinganishwa na mwanaume.
- Mwanamke hana budi kushirikishwa kuchagua rangi ya nyumba,aina ya sakafu ya nyumba,mpangilio wa vyumba katika nyumba ,namna mbali mbali za uwekaji wa mapambo katika nyumba,aina za makochi,meza,kabati anazohitaji.mwananke hapaswi kugandamizwa kabisa kwa kuonekana ndio mchafuzi wa nyumba.
- Mwanaume hapaswi kupanga,kusafisha nyumba peke yake bila kumshirikisha mwanamke kwan mwanamke ni mwalimu na rafiki zaidi wa watoto.kumpa nafasi na maamuzi ya mwanamke juu ya kupamba nyumba kutaelimisha watoto kwanba kupamba nyumba ni moja ya desturi nzuri
http://organizedhome.com/seasonal-spin/five-tips-spring-cleaning-with-kids?utm_campaign=shareaholic&utm_medium=facebook&utm_source=socialnetwork
MWANAMKE NA MTOTO WAKE KWA AJILI YA USAFI
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni