this blog helps to get beauty home decorations rennovations buildings of new houses and so much more on home and houses issues.
Jumatano, 13 Julai 2016
Jumanne, 3 Mei 2016
how to prepare handmade children best hanger.
It is not so easy to make such a hanger. But if there is a man in the house and tools for precise cutting of wood (jigsaw or compact saw), than it is quite real to make such an original children’s hanger.
example of a beauty hanger made for children
Besides substantial savings (compared to the finished product and the time to find it), your efforts will be rewarded with a child’s delight: he will have a practical and unusual detail of the interior, which will be a source of pride in the eyes of his friends.
“Summer tree”
Materials and tools:
- 2 plywood boards of 45×20 inches and a thickness of 0.3 inches;
- wrapping paper (for a template) of 45×20 inches;
- 4 metal brackets and screws to them;
- several wooden handles with fastening;
- jigsaw;
- paint and brush;
- screwdriver;
- scissors;
- pencil;
- sandpaper.
How to make:
Draw a pattern of a tree (crown, branches, base) on the wrapping paper so that both sides were roughly symmetrical to each other, and all the lines were rounded. Mark the center line in the middle with a width of 0.3 inches. Cut out the template and draw the pattern on the plywood using the template as a stencil.
Saw 2 identical elements of both plates, and then make a slit of 0.3 inches on one of them – cut a portion of the central line from the top to the middle (where the “branches” begin). Clean the edges with sandpaper to a perfectly flat surface and then paint, for example, in 2 shades of the same color.
Install the prefabricated components of the “tree” on the floor and put one element into another through the slot. Initial resistance of the hanger will be achieved. For optimal results fasten the metal corners on each side, where both elements are connected.
Cut little flowers or leaves from the remnants of plywood, paint them in bright color, connect to the handle and attach to the “crown” of the “tree”. The hanger-tree is ready!
another picture of beauty hanger
Alhamisi, 21 Aprili 2016
VIJUE VITU VINNE MUHIMU KATIKA KUPAMBA NYUMBA TANZANIA
Katika Tanzania nyumba ni sehemu ya muhimu sana muda mwingi hutukuta katika nyumba zetu wageni rafiki zetu hutembelea nyumba zetu.Tungependa sana kuona nyumba zinapendeza zinavutia.Hapa unaweza kujionea namna utapamba nyumba yako na kuifanya iwe ya kuvutia sana kwa kuzingatia mambo yafuatayo manne.
Ujumbe
Hii ni hatua ya kwanza ya upambaji.lazima uzingatie ujumbe unaotaka kuufikisha kwa jamii unapotaka kupamba nyumba yako.Unaweza kutoa ujumbe wa tamaduni ulionayo hususani kabila,nchi na kupata mapambo ya nyuma yako.Unaweza ukaangalia daraja unalotaka nyumba yako ionakane ya daraja la utajiri,maskini au la kati.pia unaweza ukapamba jinsi ulivyo mfano vitu vya jinsia yako.
Rangi
Hii ni hatua ya pili ya upambaji ambapo baada ya ujumbe kujulikana rangi zitaendana sambamba na ujumbe unaotaka kuutoa na kupendezesha nyumba yako zaidi.Pia rangi ukiziweka sehemu mbalimbali kama samani za ndani,madirisha,na vifaa mbalimbal vya ndani.vitapendezesha nyumba yako zaiadi ya kuweka Randi kwenye ukuta tu.
nafasi
matumizi ya nafasi kama kuweka vitanda vyenye makabati,makichi ya vitanada,vitanda vya makiochi,vinasaidia sana kutunza nafasi na kuacha chumba chako kikiwa kimependeza sana.
vitu vya kumbukumbu
unaweza ukatumia meza za zamani ,viti vya zamani,ukaviboresha na kuonekana muonekano mzuri pasipo kuviuza au kuvitupa
HII NI LINK YA NYUMBA YAKO KUELEZEA ZAIDI VITU VINEE YA KUPAMBA NYUMBA..
http://ghar360.com/blogs/home-decor/4-key-aspects-of-home-decoration-to-consider
SEBULE IKIWA IMEUNGANISHWA NA CHUMBA CHA KULIA CHAKULA
Ijumaa, 15 Aprili 2016
KUPAMBA NYUMBA KWA SAA HUFANYA NYUMBA YAKO ITAMBULIWE PIA IWE YA KISASA
Katika nyumba nyingi hapa kwetu Tanzania kupamba nyumba kwa saa imeonekana ni suala la kawaida na lisilona maana yeyote.
kupamba kwa nyumba kwa saa kutapendesha nyumba yako.
Unapofanya saa kuwa urembo wa nyumba yako yafuatayo ni ya kuzingatia:
Picha inayaonyesha chumba cha kulia chakula kimepambwa na saa.
Picha kinachoonyesha chumba cha sebule kikiwa kimepambwa na saa.
Hiki ni kiungo cha mtandao kitakachoweza kukuhabarisha zaidi kuhusu saa na upambaji wa nyumba.
http://www.fstips.com/home-feng-shui/29.html
kupamba kwa nyumba kwa saa kutapendesha nyumba yako.
Unapofanya saa kuwa urembo wa nyumba yako yafuatayo ni ya kuzingatia:
- Chagua saa yenye umbo la mstatili kwa kuweka chumbani ili
- Chagua saa yenye umbo la urembo lililochongwachongwa kwa ajili ya kuweka sebileni ili lipendezeshe sebule
- Chagua saa yenye umbo la duara kwa ajili ya ofisi duara ni nene itafanya bishara yako ionekane inakuwa na ni tajiri.
- Usiweke saa mahali pa juu sana hivyo kupata shida kuiangalia weka saa katika upeo wa macho iwe rahisi kuifuatilia.
Picha inayaonyesha chumba cha kulia chakula kimepambwa na saa.
Picha kinachoonyesha chumba cha sebule kikiwa kimepambwa na saa.
Hiki ni kiungo cha mtandao kitakachoweza kukuhabarisha zaidi kuhusu saa na upambaji wa nyumba.
http://www.fstips.com/home-feng-shui/29.html
Jumatano, 13 Aprili 2016
SHERIA,NAFASI NA HAKI YA MAAMUZI KWA MWANAMKE IKIPEWA KIPAUMBELE INAWEZA KUBORESHA NYUMBA YAKO
- Mwanamke ni wa muhimu sana katika jamii.Mwanamke anahitaji kuthamini katika jamii na si kunyamazishwa kimya,kunyimwa maamuzi sahihi kwa kutumia rushwa na hongo mbalimbali .
- Zipo haki na sheria mbalimbali za ambazo zinahitajika apewe mwanamke ili aweze kuleta manufaa.mwanamke anatakiwa apewe haki ya kufanya maamuzi pia maamuzi yake kukubalika.
- Kwenye urembo wa nyumba mwanamke anaaminika kwa kuimudu nyumba vizuri na kufanya ivutie wakati wote ikilinganishwa na mwanaume.
- Mwanamke hana budi kushirikishwa kuchagua rangi ya nyumba,aina ya sakafu ya nyumba,mpangilio wa vyumba katika nyumba ,namna mbali mbali za uwekaji wa mapambo katika nyumba,aina za makochi,meza,kabati anazohitaji.mwananke hapaswi kugandamizwa kabisa kwa kuonekana ndio mchafuzi wa nyumba.
- Mwanaume hapaswi kupanga,kusafisha nyumba peke yake bila kumshirikisha mwanamke kwan mwanamke ni mwalimu na rafiki zaidi wa watoto.kumpa nafasi na maamuzi ya mwanamke juu ya kupamba nyumba kutaelimisha watoto kwanba kupamba nyumba ni moja ya desturi nzuri
http://organizedhome.com/seasonal-spin/five-tips-spring-cleaning-with-kids?utm_campaign=shareaholic&utm_medium=facebook&utm_source=socialnetwork
MWANAMKE NA MTOTO WAKE KWA AJILI YA USAFIJumamosi, 9 Aprili 2016
JE WAJUA MADIRISHA YANAYOONGEZA USALAMA KATIKA NYUMBA YAKO LINAPOTOKEA JANGA LA MOTO?
HISTORIA YA JANGA LA MOTO
Katika majiji mengi hasa jiji la Dar
es salaam, kuna familia nyingi zimepoteza wapendwa wao kutokana na
janga la moto.
Majanga yanapotokea kwa kuwa
nyumba za mjini zimejengwa kwa uimara mkubwa,zenye mageti na makufuli
mengi .Milango na madirisha yenye vyuma ili kuzuia uhalifu
inakuwa ni vigumu sana kuwaokoa watu wakati wa moto.Magari ya kuzima moto huwa
yapo mbali na si rahisi kufika kwa wakati.
MOTO MBAYA SANA UNATEKETEZA MALI ZOTE
JANGA LA MOTO NA SABABU ZAKE
Janga
la moto hutokea pale moto unapokuwa mkubwa na kusababisha madhara.Sababu za
janga la moto .janga la moto husababishwa na hitilafu za umeme
,hitilafu kwenye majiko ya gesi,mishumaaKatika majiji mengi hasa jiji
la Dar es salaam, kuna familia nyingi zimepoteza wapendwa wao
kutokana na janga la moto
NYUMBA IKITEKETEA MOTO BILA HURUMA
MADIRISHA YA USALAMA
MADIRISHA ya usalama ni madirisha yenye uwazi
maalum yaliyowekwa ajili ya kutorokea au kuokolea wakati wa ajali za moto
au majanga mengine .Madirisha ya usalama hutumia wavu laini uliorahisi kutoboka
,vioo laini visivyo umiza .dirisha la chuma lililotengenezwa rasmi na kuachwa
nafasi maalum wakati wa janga la moto liwe rahisi kufunguka kwa usalama
zaidi. Dirisha hili si mahali pa kuchezea watoto weka kitasa maalum ambapo
kitavunjwa baada tu ya ajali ya moto.Usiweke tthamani au kuruhusu watoto kucheza
kwenye dirisha.Hakikisha unaweka vibandiko juu ya dirisha ili kujilisha
wageni hilo ni dirisha la usalama.
DIRISHA LA USALAMA LIKIWA LIMEWEKWA ALAMA MAALUM
LINK
HII NI LINK ITAKAYOKUFANYA UWELEWE ZAIDI NAMNA AMBAVYO MADIRISHA YANAONGEZA USALAMA.
Jumanne, 29 Machi 2016
USAFI WENYE KULETA UNGAAVU WA NYUMBA NDIO MPANGO MZIMA.
USAFI
- Katika maisha usifanye usafi bora liende,utaharibu thamani zako kwa muda mfupi sana utaichukia nyumba kwani itakuwa chafu muda wote .Asikwmbie mtu nyumba usafi bwana lazima kuutumikia na kuuheshimu hata kwenye nyumba kwani ndio utakufanya uonekane bomba. Hata iweje ukinunua viti vyako vipya,meza zako mpya,muhimu kufanyia usafi ukitumia maji na sabuni.
- Chagua sabuni yenye kuondoa uchafu wa mafuta pia madoa ili kuhakikisha nyumba yako nzima inang'aa.unapoitunia sabuni usiibanie weka kiasi cha kutosha ili kuhakikisha thamani zako pia ukuta,madirisha yanang'aa.tumia maji cha kutosha pia chagua chombo maalum cha kufanyia usafi,dodoki maalum la kufanyia usafi ili ufanye usafi wako kwa uhuru.usiogope kufanya usafi au kushika maji kwani ni namna pekee zitaweza kufanya thamani zako,ukuta,sakafu,vitakate.tumia vifaa vizito yaan vitambaa vyenye kotoni nzito,brashi zenve nyuzinyuzi nzito japo utachoka sana ila mwisho nyumba yako itatakata sana na kuwa mpya.
- Badilisha ndoo,vitambaa na vifaa vingine pingi vitakapo choka.fanya usafi ukitumia nguvu zako zote kusugua ili patakate,fanya usafi uliomakini angalau mara moja kila siku ili kuhakikisha nyumba yako inakuwa safi wakati wote.kumbuka maji na sabuni hutakatisha nyumba wala hayezeeshi nyumba.pia sehemu za uvunguni nyuma ya milango,nyuma ya makochi usizisahau.
Mpangilo
- Jaribu kupanga nyumba na vitu vilivyomo vizuri hakikisha kila kitu kinakaa mahali pake wakati wote hakikisha iwe ni watoto unawaelekeza namna ya kurudishia vitu mahali wanavyovitoa iwe ni sebuleni au mahali popote.
- Watoto wa umri wowote ni wa kutumia vizuri hasa linapokuja suala la upangaji nyumba hakikisha unawaelekeza kwa upole na wapende kupanga nyumba.nyumba iliyopangwa vizuri ni rahisi sana kuifanyia usafi .ni ngumu sana kukuta panya ,nyoka na wadudu mbalimbali indapo utakuwa makini na haya.
Hitimisho
Usafi huleta raha na mpangilio wa nyumba huleta raha jaribu kusoma na kutenda haya utaona mabadiliko.ukipata mafanikio katika haya usiache kutupatia maoni yako.
LINK
Pia kukitaka kuelewa mbinu zaidi soma stori hii iliyo kwa lugha ya kiingereza
.
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)









